Search this site
Embedded Files
Select Your Name || Download & Vibe Your Callerz With a Musical Name Tune!!
  • CUSTOM TUNES
  • JINA TUNES
  • ASILI TUNES
  • BIBLE TUNES
  • Contact us
Select Your Name || Download & Vibe Your Callerz With a Musical Name Tune!!
  • CUSTOM TUNES
  • JINA TUNES
  • ASILI TUNES
  • BIBLE TUNES
  • Contact us
  • More
    • CUSTOM TUNES
    • JINA TUNES
    • ASILI TUNES
    • BIBLE TUNES
    • Contact us

Click to Preview & Download

Zaburi 23:1-3

Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake


Isaya 60:1-2

Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja, Na utukufu wa Bwana umekuzukia. Maana, tazama, giza litaifunika dunia, Na giza kuu litazifunika kabila za watu; Bali Bwana atakuzukia wewe, Na utukufu wake utaonekana juu yako. 



© INCALLER DOTNET - 2025


Report abuse
Page details
Page updated
Report abuse